Itakuwezesha wewe na Waajiri wenzako kupata taarifa kwa wakati za viwango vya mishahara vinavyolipwa Tanzania. Hivyo utaweza kufanya majadiliano mazuri ya mishahara kwa wafanyakazi wako wapya na wale wanaoendelea na ajira. Itakuchukua takribani dakika 10 kukamilisha hojaji hili la hali ya mishahara Tanzania la Africapay.org/tanzania. Unaweza kushinda tuzo.

Share |